TAMBUA SIKU YA KUBEBA MIMBA HARAKA

Njia rahisi ya kuitambua SIKU YA KUBEBA MIMBA.


Kuna njia mbali mbali za kuitambua SIKU ya KUBEBA MIMBA


Na katika somo la Leo tutajifunza jinsi kuitambua SIKU ya kubeba mimba kwa KUANGALIA kalenda.


Mambo ya KUZINGATIA;


1: kufahamu mzunguko WAKO

2: kufahamu SIKU ya hatari

3: Fahamu jinsi ya kuhesabu SIKU ya hatari


KUFAHAMU MZUNGUKO WAKO.


hapa unatakiwa kuhesabu kuanzia SIKU ya kwanza kuingia hezi mpaka hezi nyingine.


Idadi ya siku utakazooata ndio urefu wa mzunguko WAKO wa hezi.


Hakikisha umehesabu kwa miezi mitatu mfululizo Ili kuhakiki mzunguko WAKO.


Kuna mzunguko mingi za hezi kwa wanawake inayo anzia 22-35.


Mzunguko wa siku 28 ndio mzunguko wa Kati.


KUITAMBUA SIKU YA HATARI


Siku ya hatari ni siku ambapo yI linasubilia mbegu za kiume lilutubishwe.


Kuna njia nyingi za kuitambua SIKU hii ya hatari:


1: kutumia kalenda.
2: kuangalia dalili


Kujifunza zaidi tazama video hapa 👇

Siku ya hatari


TAZAMA VIDEO




Post a Comment

Previous Post Next Post