Dalili za mimba changa ni mabadiliko ya mwili yanayotokea baada ya mwanamke kupata mimba.
Dalili za mimba changa zinaweza kuonekana baada ya wiki moja tangu mimba itungwe.
Dalili za mimba changa zinaweza kuonekana au zisionekane.
ZIFUATAZO NI BAADHI YA DALILI ZA MIMBA CHANGA
1: KUKOSA HEZI
2: kuchoka saana
3: matiti kuuma
4: maumivu chini ya kitovu
5: kichefuchefu
6: kutapika
7: kikojoa Kila mara
8: moyo kwenda mbio
9: kuvimba miguu
10: kuchukia harufu
11: KUHARIBIKA sura
.12: Tumbo kukua
13: kuchagua vyakula
14: matiti kuwa makubwa
15: kitu kigumu kwenye matiti
Na hizo ni baadhi ya Dalili za mimba changa
Kujifunza zaidi tazama video
TAZAMA VIDEO 👈
Tags
Mimba