Dalili za mimba ya siku moja

Katika somo la Leo tutajifunza dalili za mimba ya SIKU moja baada ya kufanya mapenzi. 


Ni wanawake wachache wanao Fahamu dalili za mimba baada ya kumaliza kufanya mapenzi. Wengi hupata dalili za mimba baada ya SIKU tatu na kuendelea 


Dalili za mimba ya SIKU 1 kwa wanawake ni kuhisi Tumbo kuuma baada ya kufanya mapenzi. 

Dalili hii huwapata wanawake masaa machache baada ya kufanya mapenzi. 

Wanawake wengi huona dalili za mimba kuanzia SIKU ya tatu mpaka siku ya Saba. Dalili hizo za mimba ni kama zifuatazo: 


1: kichefuchefu 


2: kutapika 


3: KUKOSA hezi 


4: chuchu kuuma 


5: kuchukia harufu 


1: kichefuchefu 

Mwanamke anapofanya mapenzi baada ya SIKU tatu mpaka Saba atahisi kutapika.

Halii hii ya kuhisi kutapika ndio kichefuchefu 


2: kutapika 

Mnanapofanya mapenzi baada ya SIKU chache atakua akila vyakula baadhi vinarudi. 

KHali hii ndio inaitwa kutapika. Pia Kutapika ni dalili ya mimba changa ya SIKU moja . 


3: KUKOSA hezi 

Uonapo dalili hizo za mimba nunua kipimo Cha mimba kuhahakikisha kua ni mimba. 


Na hizo ndio dalili za mimba ya SIKU moja

Kujifunza zaidi tazama video hapa 👇



TAZAMA VIDEO


Post a Comment

Previous Post Next Post