DALILI ZA MIMBA YA SIKU SABA



Katika kipindi hiki tutajifunza dalili za mimba ya siku Saba.

Kuna dalili mbali mbali ambazo huanza kujitokeza katika kipindi hiki Cha siku Saba.

Tukiachana na maumivu chini ya kitovu ambayo ni dalili muhimu saana kwa kipindi hiki.


Pia Kuna dalili nyingi zitakaO onyesha kua una mimba ya siku Saba.

Dalili hizo ni kama zifuatazo:

1: kichefuchefu

Mwanamke atahisi kutapika muda wote kwa sababu ya kuongezeka kwa homoni ya uzazi ambayo husabisha misuli ya Koo KUKOSA nguvu.


2: KUKOSA HEZI

Hii ni dalili muhimu saana ya kubainisha mimba changa.

Mwanamke mwenye mimba hawezi kupata hezi wakati huu wa mimba ya siku Saba.


Kwani hakuna yai linalokomaa kipindi hiki na kitolewa kama uchafu inayoitwa hezi.


3; matiti hubadilika

Dalili ya mapema saana na muhimu ni matiti kubadilika au kuuma saana kwa baadhi ya wanawake.


Hii husabishwa na mwaili kuanzia kuandaa MAZIWA ya mtoto ajae.


Hivyo matezi ya maIwa kuanzia kujaa na kuuma kwa baadhi ya wanawake.

Kujifunza zaidi tazama video hapa 👇

Dalili za mimba ya siku Saba




TAZAMA VIDEO




Post a Comment

Previous Post Next Post