Jinsi ya kupata mtoto wa kike

Katika somo la Leo tutajifunza siku ya kupata mimba ya mtoto wa kike.

Kupata mtoto wa kike lazima ufahamu vitu vifuatavyo;

1: urefu wa mzunguko wako wa hezi

2: siku ya hatari

3: siku ya kupata mtoto wa kike


1: JINSI YA KUFAHAMU SIKU YA HATARI.


Kufahamu siku ya kupata mtoto wa kike ni lazima ufahamu urefu wa mzunguko wako wa hezi.


Ili kufahamu urefu wa mzunguko wako wa hezi.


Hesabu kuanzia siku ya kwanza ya hezi mpaka siku mpaka hezi inayofuata.


Hesabu kwa Miezi mitatu au miwili hapo utafahamu urefu wa mzunguko wako wa hezi.


JINSI YA KUFAHAMU SIKU YA HATARI.

kufahamu siku ya hatari chukua urefu wa mzunguko wako toa 14.

Yaani, urefu wa mzunguko - 14

Kwa mfani mzunguko wako ni 28.


28-14=14


Siku yako ya hatari ni 14


Baada ya kufahamu siku yako ya hatari, Sasa ni wakati wa kufahamu siku ya kupata mtoto wa kike.


SIKU YA KUPATA MIMBA YA MTOTO WA KIKE.

Baada ya kufahamu siku ya hatari, FANYA mapenzi siku tatu kabla ya siku ya hatari.

Kwa maelezo zaidi tazama video hapa

👇



TAZAMA VIDEO YOUTUBE

#mtotowakike #mimbayamtotowakike #dalilizamimba #mimba

Post a Comment

Previous Post Next Post